Sabah News: Hizb ut-Tahrir Jimbo la Sudan: Kufanya Ujasusi na Nchi za Nje, Kubeba Silaha, na Kukiuka Uadilifu ndiyo Njia Rahisi ya Kuwa Waziri na Kutawala
Televisheni ya Al-Waqiyah: Amesema Mpenzi ﷺ "Wema ni tabia njema"
Jimbo la Pakistan: Toleo la 87 la Jarida la An-Nusra Latolewa
Ubepari wa Kidemokrasia ni Kama Mdudu, Ukiguswa Unanuka!
Pamoja na Hadithi Tukufu - Tutamjibu vipi Mtume, rehema na amani zimshukie, kwenye hodhi yake?
Hauwezi kukata mizizi ya ukoloni wa Magharibi kutoka nchini mwetu isipokuwa Khilafah Rashidah kwa msingi wa Utume
Kwa mwaliko kutoka kwa Balozi wa Uingereza, Kumar Iyer, pamoja na Ujerumani, Ireland, Uholanzi na Norway, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lilifanya kikao siku ya Ijumaa, 14/11/2025, kuhusu ukiukwaji katika mji wa Al-Fashir. Baraza hilo lilikubali kwa kauli moja azimio la kuidhinisha ujumbe huru wa uchunguzi wa ukweli, ambao uliundwa na Baraza hilo tarehe 11/10/2023, kuchunguza ukiukwaji uliofanywa katika mji huo, ambapo Baraza liliamuru utambuzi wa watu wote waliohusika, ili kusaidia kuwafikisha mbele ya sheria. Kuendelea na msimamo wake wa kukataa ujumbe huu tangu kuundwa kwake, Waziri wa Sheria Abdullah Darf alitangaza,
Ofisi Kuu: Shughuli za Kimataifa za Hizb ut-Tahrir Kuinusuru Gaza!
Sehemu ya shughuli za kimataifa zilizoratibiwa na Hizb ut-Tahrir kote ulimwenguni kusaidia na kuomba msaada kwa watu wetu huko Gaza na Palestina yote inayokaliwa kutoka mto wake hadi bahari yake, kufuatia mauaji ya kikatili (mauaji ya kimbari) yanayoendelea kwa miezi 22, yanayofanywa na chombo haramu cha Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa, kujeruhiwa na kupotea kwa zaidi ya Waislamu 210,000 hadi sasa.
← اقرأ المزيدTelevisheni ya Al Waqiyah: Alisema Mpenzi ﷺ "Usafi ni nusu ya Imani"
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura ya Al-A'raf
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura ya Al-A'raf
Soma makala kamili ←